Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23] shimba kaka yangu huyu usidhani ni jibaba nyemelezi
Uwiiii jamani nimeitwa kaka. Kile kijamaa Kichwa Kichafu kimefanya yake nini? Haya ndo matokeo ya vita kiliyotangaza jana ama!?

Baby, ukaka huu umeanza lini tena ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom