Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uwiiii jamani nimeitwa kaka. Kile kijamaa Kichwa Kichafu kimefanya yake nini? Haya ndo matokeo ya vita kiliyotangaza jana ama!?

Baby, ukaka huu umeanza lini tena ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
baby namaanisha quigley ndo kaka.... hapana kile kijamaa hakijafanya chochote my love
 
Back
Top Bottom