Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Blanketi lipumualo linakuhusu....Jamani baridi ya huku siyo mchezo
Huku kwema futureshemejiKwema kabisa, hofu kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu.
huwezi jua pengine maslahi aliyoahidiwa ni makubwa zaidi ukilinganisha na kile anacholipwa ofisi ya mwanzo.Kunguru hafugiki.
Hatimaye mtangazaji Maulid Kitenge ahamia
Jamaa ana tamaa sanahuwezi jua pengine maslahi aliyoahidiwa ni makubwa zaidi ukilinganisha na kile anacholipwa ofisi ya mwanzo.
hahahahahahahahah.Huku kwema futureshemeji
bahati mbaya sana maisha ya watu maarufu wanaoishi Tanzania siyafahamu kiundani hata kidogo hivyo basi huenda mupo sahihi kimtazamo.Jamaa ana tamaa sana
huyu ndiye mchumba wako kutoka india DEPAL gupta dharmendra?
matiti yametiririka chini kama maji ya mto
View attachment 1236217
Tanzania mikataba mirefu hakuna. Just imagine kitenge alikimbia ITV huyo akaruka ruka weee katua Efm na bado akapata dili la supersport bado efm wakamvumilia japo hakua akitekeleza majukumu yake vizuri ,hajatulia vizuri now kahamabahati mbaya sana maisha ya watu maarufu wanaoishi Tanzania siyafahamu kiundani hata kidogo hivyo basi huenda mupo sahihi kimtazamo.
kwani hao waandishi wa habari huwa hawafungi mkataba wa kufanya kazi kituo X kama walivyo wachezaji wa mpira na timu zao?
SHIMBA YA BUYENZE msaada tafadhali