Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukatibu mkuu kwa sasa wampe Heche. Mkurya yule akiwaka amewaka hakuna kuzimika; na anaweza kujenga hoja. Huyu ngosha Mashinji huyu tangu awekwe mi sijawahi kumwelewa japo nadhani aliwekwa tu ili kuondoa dhana ya Ukaskazini na pengine kutafutia kura za kanda ya Ziwa.

Na mwaka kesho wakikumbatia tena oil chafu kutoka CCM kuwa ndo wagombea wao nitashangaa...
Pamoja na hio ngosha aliwekwa ili mwenye kigoda amdhibiti vilivyo
 
71170549_160469688393806_799310487537007810_n.jpg
 
Back
Top Bottom