Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

74823613_2463985763686088_6989261729836148247_n.jpg
 
Chadema huwa natamani niwatukane ila nafsi inakataa, walichokifanya mwaka 2015 wengi tumeumia.
Kuhusu suala la Katibu mkuu nadhani bw Mbowe ana maslahi na cheo hicho.
Maana ana watu wa kutosha wenye uwezo, lakini ndiyo hivyo
Hii iliwaua sana wapinzani. Wao kutwa kulalamika kukosa sapoti ya watanzania wakati huo huo wakipata sapoti wanayoitaka wanaitumia vibaya.

Uchaguzi wa 2015 wangeutumia vizuri ushindi ungekua wao tena mkubwa tu

Bado wakaboronga cheo cha katibu mkuu. Kile cheo angepewa lissu,lema,msingwa au mbunge yoyote machachari ndani ya CDM ingeongeza uzito ndani na nje ya chama
 
Ni mtazamo ambao kila mmoja anao wa kwake.
Nadhani kila mmoja ana haki yake kuamua juu ya maisha yake, hasa kama havunji sheria, lakini jamaa kwa kiasi furani ana tamaa
Siyo kwa hii jamii yetu tuliyonayo. Nyongeza ya mshahara inayoeleweka wengi tu watahama walipo. Thamani ya mwanadamu kwenye jamii hii inayoabudu matajiri na mafisadi hii itakufikisha wapi? Who cares? Labda kwa matajiri walioridhika [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Back
Top Bottom