capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
😂 😂
Jumapili hii pia waweza kusombwa na upepo wa kisulisuli mpaka kwa Mama Mchungaji. Ni kujichagulia tu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1236388
😂 😂
Ndo zile za 'tutaambia nini watu??
😂 😂
Ndo zile za 'tutaambia nini watu??
Hii iliwaua sana wapinzani. Wao kutwa kulalamika kukosa sapoti ya watanzania wakati huo huo wakipata sapoti wanayoitaka wanaitumia vibaya.
Uchaguzi wa 2015 wangeutumia vizuri ushindi ungekua wao tena mkubwa tu
Bado wakaboronga cheo cha katibu mkuu. Kile cheo angepewa lissu,lema,msingwa au mbunge yoyote machachari ndani ya CDM ingeongeza uzito ndani na nje ya chama
Mwacheni ahangaike na maisha yake. Bila shaka huko alikoenda kuna maslahi zaidi. Kutafuta malisho ya majani mabichi bora. Ndiyo lengo la walio wengi....
Go Kitenge Go [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Siyo kwa hii jamii yetu tuliyonayo. Nyongeza ya mshahara inayoeleweka wengi tu watahama walipo. Thamani ya mwanadamu kwenye jamii hii inayoabudu matajiri na mafisadi hii itakufikisha wapi? Who cares? Labda kwa matajiri walioridhika [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Mwaka Kesho timu ya Lissu na Maalim itabamba mbaya. Hutaponyoka !!!
hawa watu wenye fedha wengi wao wana nukuu za kipuuzi.
Kwa huko visiwani labda. Kwenye Muungano je? Itakuwa mchanganyiko wa hawa watu ama?
Maalim na Zitto
Maalim na Lissu
Sumaye na Maalim
Membe na Maalim