Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
๐ ๐Hebu malizia, ni mpole ila?๐๐๐๐
๐ ๐Hebu malizia, ni mpole ila?๐๐๐๐
Snow wapi???Ndio bro baridi ni shida hapa town mixer snow ๐
Mgumu hulali hakuna mkate mgumu kwenye chaiMpendwa huu mpango wako wa WAGUMU kututoa kwenye reli na ushindwe! [emoji16][emoji16]
Aisee, hatari sana.Ndio bro baridi ni shida hapa town mixer snow ๐
Siku nyingine nitamaliza mpendwaKumbe kuna ila, malizia mpendwa Hawachi ila nini?
๐
Na kweli hizo chai ulizopost ugumu wa mgumu unayeyuka mapema sana ๐ ๐Mgumu hulali hakuna mkate mgumu kwenye chai
Mgumu hulali hakuna mkate mgumu kwenye chai
Ila tabia zenu zinafanana kama mapacha๐๐๐Hebu malizia, ni mpole ila?๐๐๐๐
Note that Really..Mjini Daslam
#UtaniTu
Heshima Yako Mkuu
Hahah! Basi njoo kule mpendwa, njoo uniambie usiogope me sina madharaSiku nyingine nitamaliza mpendwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nawe ulizidi mara waenda MMU kufumania kichwa kichafu mara umesahau kupika huyoo kushuhudia interviews za dj sepetu
#coleWetuakaamuakubeti
#EtiboraEplKulikoCarba
Hapo kwenye kufanana, hapana aisee.King yuko juu mawinguni.Ila tabia zenu zinafanana kama mapacha๐๐๐
Hii ya mwisho utasababisha nipewe taraka na laazizi nyonga mkalia inihahahahahahahahah, tuma kama ipo.
Nimeona na ya bibi harusi kule kwenye maselfie ๐๐๐
Eti anaitwa nani huyo shem? ๐ ๐ ๐Hii ya mwisho utasababisha nipewe taraka na laazizi nyonga mkalia iniView attachment 1236571