Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kama umekabiziwa jezi na mchezo hujauelewa hivi, haina jinsi bro kukaza tu 22°c hazina shida sana 😀Huku pia Mvua bro,imekata muda sio mrefu,sema baridi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] aisee,,, ni kweli kabsa bro, haina jinsi tenaKama umekabiziwa jezi na mchezo hujauelewa hivi, haina jinsi bro kukaza tu 22°c hazina shida sana [emoji3]
Kwema binti mpoleNi vizuri kuzingatia kuwa baadhi ya dawa za maumivu zinazotolewa kwa maagizo ya daktari kama vile Vicodin na Percocet, pia zina kiambata cha panadol na kwa hivyo hazipaswi kuchanganywa na dawa zingine zenye kiambata hiki.
Kwema,naona mnalalamika baridi andaeitini bana. Enzi zetu tulikua hatuna nguo full magome na hatukulalamikaKwema binti mpole