capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Sisi huku tulikuwa na 19°c now 21.Kama umekabiziwa jezi na mchezo hujauelewa hivi, haina jinsi bro kukaza tu 22°c hazina shida sana 😀
Asante bro. Nimejoin hii maktaba. Wako vizuri.
Hahahah aisee,, uwe na siku njema bhana,maana umeanza kutoa tambo zako za uhengaKwema,naona mnalalamika baridi andaeitini bana. Enzi zetu tulikua hatuna nguo full magome na hatukulalamika
😂😂😂😂😂🙌Kwema,naona mnalalamika baridi andaeitini bana. Enzi zetu tulikua hatuna nguo full magome na hatukulalamika
[emoji2][emoji2][emoji2] usiwaze bro, japo hiki kihali cha hewa kinashawishiPamoja bro ila Jumaa ndio hii sasa, usiende hapo jirani japo ni weekend
Naombea liver ashindeeeeeWeekend inakaribia. Naombea city achapweeee
Duh! 19 kabisa?Sisi huku tulikuwa na 19°c now 21.
Zinasoma tu hizo lakini baridi yake hadi kwenye mifupa
Huyo naye andaeitini tu sema mjanja mjanja [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Man U wakishafungwa,,, what's next bae?Naombea liver ashindeeeee
Safi sana bro kumbe umetembelea kabisa? wapo vizuri sana huko ushindwe wewe tuAsante bro. Nimejoin hii maktaba. Wako vizuri.
View attachment 1236891
😂😂😂 naelewa naelewa[emoji2][emoji2][emoji2] usiwaze bro, japo hiki kihali cha hewa kinashawishi
Unashangaa 19, kuna siku tuliamka na 14 zile mvua za July.. Hiyo siku sikushika chochote chenye maji....... Baridi mbayaa siipendiDuh! 19 kabisa?
Poleni sana japo sio mbaya..... Cold is Sweet
Najaribu kubadilika mpendwa Hawachi...[emoji16][emoji16]Picha zako zile sizioni kwa uzi wa like au unamsubiri BAK mshirika mwenzio aje muanze kutuwekea.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23] naelewa naelewa