capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Hivi hii nchi ina "wakandarasi" wenye utaalamu wa kutosha kweli
Tatizo ni nini pale makutano ya barabara ya Goba na Bagamoyo maeneo ya Masana Hospitali. RC Paul Makonda alijitutumua kusema amepaweza huku akitutajia na mavipimo ya urefu leo hii kiko wapi maji kedekede pale