Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Wanaogopa wasidharaulike ama? Mbona mi ninayeweka nimekubali kudharaulika? Wajitokeze tu tudharaulike pamoja...
View attachment 1236911
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ itakua, siunajua maisha ya mtandaoni maigizo mengi

#WajitokezeTuTudharaulikePamoja

πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ofisa Mtendaji wa kata ya Izira Halmashauri ya Wilaya Mbeya, Ildephonce Kamugisha amekimbia kituo chake cha kazi baada ya kutishiwa kuuawa na Wanakijiji cha Maputa, Dc Ntinika ameagiza Polisi kuwakamata waliohusika pia ameagiza Mtendaji kurejea katika kata na kuendelea na kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…