Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shughuli za kimwili.
Mazoezi ya viungo ni muhimu katika kukufanya mwepesi. Kimbia taratibu (jogging) au tembea kwa mwendo wa haraka kwa umbali kidogo kila siku au walau mara mbili kwa wiki. Hii itakusaidia kukupa pumzi nzuri. Kwa wale waimbaji, sauti yako itapunguza kuhema hema.
 
Duh! Hii label ya makalio hii sijui kama nitaweza kuondokana nayo. Binadamu wakishakukategoraizi na kukujaji basi unalo ng'wanawane [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Lala masaa yanayotakiwa (8-10). Usitumie muda mwingi kuangalia luninga ukakesha asubuhi unaelekea darasani au ofisini. Usisome masaa tisa ukalala kwa saa moja au kuvusha kabisa halafu uingie kufanya mtihani. Pumzika na lala ili akili pia ipumzike na mwili kwa ujumla.
 
Shughuli za kimwili.
Mazoezi ya viungo ni muhimu katika kukufanya mwepesi. Kimbia taratibu (jogging) au tembea kwa mwendo wa haraka kwa umbali kidogo kila siku au walau mara mbili kwa wiki. Hii itakusaidia kukupa pumzi nzuri. Kwa wale waimbaji, sauti yako itapunguza kuhema hema.
 

Mbona nasikia na wewe kwenye DNA yako kuna ukatalunya Mkuu
 
Tumeumbwa tupendane lakini haimaanishi umpende kila mmoja sawa sawa. Tunapaswa kusaidiana na kuheshimiana lakini inaposhindikana unaacha. Usiumize kichwa kumfurahisha asiyetaka au asiyestahili. Kakupotezea muache, usimlete karibu kilazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…