Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sababu kubwa inayofanya mwanamke au mwanamume ajishauri kumkubali mwanamume au mwanamke badala ya kujishauri kumkataa ni nguvu ya uchumi aliyonayo mwanamume au mwanamke anayetongoza. Kumkataa mtu mwenye nguvu ya uchumi ni vigumu sana hata awe mbaya kiasi gani. Maana nguvu ya uchumi haiangalii sura wala umbile la mtu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya kuongeza volume sijasikia vizuri
 
Kiungo cha binadamu kinachofanya watu waongezeke hatukupewa ili tukitumie kwa anasa za ulimwengu huu. Tulipewa kwa ajili ya kuongezeka tukiwa katika taasisi rasmi ya ndoa, kama upendo wa Yesu Kristo na Kanisa, na kwa ajili ya starehe ya macho kama ilivyorekodiwa katika kitabu cha mapenzi cha Biblia kiitwacho Wimbo Ulio Bora.

Mungu alipomuumba Adamu na Hawa amri ya kwanza aliyowapa ni kufanya mapenzi, ili waijaze dunia, wakiwa katika taasisi ya ndoa. Hivyo, mapenzi nje ya taasisi ya ndoa ni dhambi inayostahili aibu.
 
Unapokuwa unafukuzia ndoto, njia ya kuifikia ndoto hiyo aghalabu huwa ngumu sana; lakini pale inapotimia, ndoto hiyo huwa kitu kizuri kuliko vyote.
Kama kwako msamaha ni kitu kigumu kuliko vyote ni kizuri kuliko vyote ukiumudu, kwani kigumu kuliko vyote ni kizuri kuliko vyote.
 
Maisha ni kama mkebe wa hesabu. Ndani yake kuna talanta saba.
Rula hutusaidia kuweka mambo kwenye mstari.
Penseli hutusaidia kuwa na malengo katika maisha.
Pembetatu hutukumbusha haki na usawa kwa wote.
Kipimapembe hutusaidia kujiheshimu na hutusaidia kupata maarifa.
Kifutio hutukumbusha kuanza upya pale tunapokuwa tumekosea.
 
To the one reading this,

I know you sometimes
feel tired and fed up.
You sometimes feel close
to breaking down.
Sometimes, you will lose hope.
Sometimes, people will hurt you.
There will be times you feel
defeated and frustrated.
But there is a strength within you,
even when you feel weak.
Stay strong as better days
will always be just around the corner.
Stay strong for the
ones who matter in your life.
Keep fighting.
.
.
I do care. And I offer you hope.
For I have been there, too.
.
[emoji177]
 
Kichongeo hutusaidia kunoa penseli ili tuendelee kuwa na uwezo wa kujiwekea malengo katika maisha. Bikari hutukumbusha kuwa na mipaka katika maisha yetu. Angalia Shetani ameiba talanta gani katika mkebe wa maisha yako, na uirudishe talanta hiyo kwa gharama yoyote ile.
 
Bikari ikipotea utagombana na watu kila siku, hutakuwa na hekima ya kutenda jambo, kwani hutakuwa na mipaka katika kila jambo utakalolifanya. Kichongeo kikipotea hutafanikiwa katika maisha, kwa sababu hutakuwa na penseli ya kukuwezesha kuweka malengo katika maisha yako. Kifutio kikipotea, ukifanya kosa hutakuwa na uwezo wa kulisahihisha. Kipimapembe kikipotea hutapata maarifa na hutaheshimika.
 

💪🏾
 
Sam Nojuma--Namibia, Kenneth Kaunda--Zambia, Samora Machel--Msumbiji, Mwalimu Nyerere--Tanzania, Robert Mugabe Rhodesia, Sir Seletse Khama--Botswana.
Katika moja ya mikutano ya viongozi wa nchi zilizo mstari wa mbele wa ukombozi kusini mwa Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…