Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwangu wewe ni zaidi ya Numbisa na ubuyu [emoji848] Amini
UsijaliWewe mpe nafasi mcatalugna.
Hizi mishe zangu niachie tuu.
#kamaHutakiNiweShemNitakuwaPadre
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woyooo ukinywa maji unamuona kwenye glass,ukila ugali unamuona kwenye tongeKwangu wewe ni zaidi ya Numbisa na ubuyu [emoji848] Amini
Naona tu unachochea kuni[emoji3] sio nikuwache soma vizuri maneno yake
[emoji23][emoji23][emoji23]Tuchapwe kwani tumependa?
Mbona wanatuongezea tabu juu ya taaab!!!
Aisee embu muache leo usiingizie mambo ya Messi usije kumuharibia hisia zakeLeo cole sijui kanywa nini aaah natamani nimdiss messi nione kama cole atamaind[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]man u unamuachia nani?Nilisahau hii. Kesho kama kawa mie timu liver[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana Kaka, naomba matokeo tafadhaliDada TH, unaangalia game yetu au?
Sawa bro,,, uzima upo pande hizo?Sana bro.
Aisee, ila nyoka sipatani nao kabisa.Nikimuona mwili unakua kama una ganzi sema nikihakikishiwa hana sumu naweza kumshika.
Sijui kwanini sipendi cabbageLeo tutaangalia faida za cabbage katika miili yetu. Kwanini tuile na inatufaidisha nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sie tusio na hisia wala hatujui hayoAisee embu muache leo usiingizie mambo ya Messi usije kumuharibia hisia zake
πππNaona tu unachochea kuni
Muone[emoji23]
Leo umekula nini eti mzungu?Uzuri wa data hazina Uongo Uongo wala Longo longo, shukrani sana mtunza Data
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]enzi za pete za visoda
Usijali wewe ndo mchepuko wangu wa kudumu humu
Namuachia mkokaa kwa muda. Maana ninge na coco wote tupo liver[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]man u unamuachia nani?
Nakuona mzee wa kukazia[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ata kabla game haijaanza unajua atafungisha tu lakini umeshamsamehe kabisa kabisa huku unawasisitiza maforwads watupe za kutosha ili kufuta makosa yake.....
Umeshaongea sana Mkatalunya sasa ni muda wa kuupa muda muda wake ili uamue...