Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manchester United wanatafakari uwezekano wa kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja kiungo wa kati wa Serbia Nemanja Matic kwa kuhofia kumpoteza mchezaji huyo wa miaka 31, ambaye analengwa na Inter Milan, kwa uhamisho wa bure msimu ujao. (Corriere dello Sport, via Sunday Express)
 
Kiungo wa kati wa Arsenal Mesut Ozil anaamini amefanywa kisingizio katika klabu hiyo. Raia huyo wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 31 anasema kwamba atasalia katika klabu hiyo hadi mwisho wa kandarasi yake 2021. (Times via The Athletic - subscription required)
 
View attachment 1238897
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Numbisa ni kwanini lakini Man u mmefanywa hivi?
Mungu si Athuman, Mara boom Man u anampiga liver hovyo hovyo [emoji23] sitaaamini akiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan kama itatokea man u kumfunga liver sijui nitakuwa katika hali gani walah[emoji23][emoji23]
#nimebetmoyomie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…