interegenciadick
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 698
- 1,111
So mkuu ninavyokunywa maji muda huu ili jagi najisumbua tu.?Huzuia mawe kwenye figo
Unywaji wa maji huzimua asidi inayosababisha mawe kwenye figo ambayo hupatikana tumboni. Unywaji wa maji ya kutosha kutakuepusha kwa kiasi kikubwa na matatizo ya figo. Ili kurahisisha utendaji kazi wa figo zako pamoja na afya yake, zingatia kunywa maji ya kutosha hasa asubuhi.