Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Konokono naye ana vituko kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
tapatalk_1571571283643.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shemeji hata wewe
Mdogo wangu yule. Mateso yake kupambana kumpata Lucifer Original. Na mlichomtendea we na Mwakaleli. Siyo fea kabisa...

Halafu Kayego masikini sijui kako wapi. Ningependa kweli kusikia maoni ya kenyewe kuhusu hii bet ya milenia. Kamasikini kale na mizigo ya maua halafu paap Liva wanapigwa. Sijui katakuwa na hali gani masikini [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom