Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😂😂😂 Dah!

Sio Ninge kwa bae wake?
[emoji23][emoji23][emoji23]

1.Ninge hajawahi kupotea mazima kisha akarudi na kuomba msamaha kwa staili ya kuch kuch hota hae

2. King ukitishiwa mtoso tu unakua mpoooleeee kama pep na vipigo vya kushtukiza

3. Ninge anapewa nyagi kubwa(life la kibabe) wewe kila siku kurushiwa vi flying kiss tu[emoji23][emoji23][emoji23] lastborn things

4. Ulipo yupo yaan umemvuta man city hadi barca. Ninge kakosa sifa hio

5. Wote mpo miguu juu na pop corn mkisubiria kuinjoi mechi ya man u. Ninge na bae wake roho juu juu kumzidi carba kisa wamebet
 
🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ Binti mpole taratibu
 
FB_IMG_1562255640303.jpeg
 
Mdogo wangu yule. Mateso yake kupambana kumpata Lucifer Original. Na mlichomtendea we na Mwakaleli. Siyo fea kabisa...

Halafu Kayego masikini sijui kako wapi. Ningependa kweli kusikia maoni ya kenyewe kuhusu hii bet ya milenia. Kamasikini kale na mizigo ya maua halafu paap Liva wanapigwa. Sijui katakuwa na hali gani masikini [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
SYB naona umeamua kusahau kwamba nili betiwa mimi.
Cole na mwakaleli walini bet.
 
Back
Top Bottom