Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,444
- 110,233
Hahaaaaaaaa
Hata wewe pia
Hata wewe pia
Kanjibai kakufanya vibaya sana leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Liver ananichania mkekaaaa
Mapigo yako ya moyo yakoje kwa sasa shemeji? Unafungua mageti na milango hovyo hovyo kama nilivyotabiri?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka ake sio maneno hayo
Aiyaaa iyaaa iyaaaa kuolewa tutarudi nyumbani kutembeaaaa
Kwaheri depal,th kuonana majaliwaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Bana bana mpira uishe tu
Nilimletea Numby 🚶Aisee... wewe si ulikuwa Liverpool
Hufai wewe, jumbe gani hizi sis😀😀😀
[emoji3][emoji3] itakuwa ujumbe umekugusaHufai wewe, jumbe gani hizi sis[emoji3][emoji3][emoji3]
Niko hatua hii shemeji,japo sina uhakika na safari[emoji124][emoji124][emoji124]View attachment 1239472
Hivi una nini lakini crush??
Hebu njoo unipepee kwanza[emoji23]