Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tapatalk_1571486748653.jpeg
 
Mimi nilitaka man ashinde ili ampunguze gape la points Liver, kuhusu kubet ni Carb alimuahidi Cole kwamba Man U akishinda atampatia Moyo wake yaani tungekua na Kapo jingine humu
Mbona bet ya ninge na depa hujaisema?
Ndugu yako atatambaa leo na kichwa chake cha kb20[emoji23][emoji23][emoji23]
Depal ongeza nyagi nyingine
 
Mbona bet ya ninge na depa hujaisema?
Ndugu yako atatambaa leo na kichwa chake cha kb20[emoji23][emoji23][emoji23]
Depal ongeza nyagi nyingine
😂😂😂😂😂😂😂 ningendako unahitajika hukuuuu.
Kichwa KB 20 noma sana 😂 hapo akimaliza hatatamani chochote chenye alcohol kwa mwaka mzima maana kitakachomkuta siri yake
 
Back
Top Bottom