carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Bae wako yuko wapi?Muda wa kulala.
Bradha ndio ana namba zake [emoji2088][emoji2088]Naomba namba za huyu fundi maiko kwakweli
Nili bet moyo mkokaa
Yule Keita yule ndio aliingia kuharibu kila kituLallana mchawi
Mapema? Ina maana we huoni giza
Mbona bet ya ninge na depa hujaisema?Mimi nilitaka man ashinde ili ampunguze gape la points Liver, kuhusu kubet ni Carb alimuahidi Cole kwamba Man U akishinda atampatia Moyo wake yaani tungekua na Kapo jingine humu
Wamekimwagia mchanga kitumbua cha MkatalunyaWamefanyaje eti?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lallana mchawi
Niko nae hapa.Bae wako yuko wapi?
Ile nyagi anapewa ama?
Basi huyo mtu umemla
20:20
πππππππ ningendako unahitajika hukuuuu.Mbona bet ya ninge na depa hujaisema?
Ndugu yako atatambaa leo na kichwa chake cha kb20[emoji23][emoji23][emoji23]
Depal ongeza nyagi nyingine