myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
liver wanatia kchefuchefu wa2 2macku nyng hatujauona ushnd na bado2 wanatukaziaNiko nae hapa.
Anakunywa akizima analala,ila haina mbebisho maana hawajaifunga liver [emoji23]
Duh!Farasi ni miongoni mwa wanyama wenye kumbukumbu kali. Farasi hulala huku akiwa amesimama.
Wamekimwagia mchanga kitumbua cha Mkatalunya
Leo anatambaa[emoji23]Heheh! Mzee mwenzangu namuhurumia sana
Ngoja amalizie kulia kwanzaHahah!!
Hivi yuko wapi jamani
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna mwali hapa
Hebu nitafutie bwana harusi kwanza
Niko nae hapa.
Anakunywa akizima analala,ila haina mbebisho maana hawajaifunga liver [emoji23]
Mbelekoooo[emoji23][emoji23]
Kaka ake naomba mnitafutie Cole Williams wangu kwanza[emoji23][emoji23]
Ndiooo πππUnamnywesha kibabe eeh??[emoji23][emoji23]
Kama namuona vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ningendako unahitajika hukuuuu.
Kichwa KB 20 noma sana [emoji23] hapo akimaliza hatatamani chochote chenye alcohol kwa mwaka mzima maana kitakachomkuta siri yake