moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Haha haya bhnaSijambo kabisa, nimeandaa Popcorn zangu hapa nawasubiri tu muwasili Dimbani
Hahaha United kanichania mkeka wangu wa show ya kibabeUsiponenepa mwaka huu basi hunenepi tena
Kuhusu droo ulisemaje kweli?Haipo hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vile Tunaenda chukua Mke wetu tena
Mambo ya chapati za alizeti bro[emoji23][emoji23][emoji23]Naona mpaka Mboso umemshinda kwa kudekezwa Bro [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Aaah mambo yanaanza kubadilika oooh pilau inageuka ugaliiii
Naomba jibu pulizi [emoji16][emoji16][emoji16]Khaaa
[emoji23][emoji23][emoji23] nimechanganyikiwa nashindwa nichague kipiNaomba jibu pulizi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23]Niko nae hapa.
Anakunywa akizima analala,ila haina mbebisho maana hawajaifunga liver [emoji23]
Hahah hope utalegeza kidogo, maana sio kwa kb 20 hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ningendako unahitajika hukuuuu.
Kichwa KB 20 noma sana [emoji23] hapo akimaliza hatatamani chochote chenye alcohol kwa mwaka mzima maana kitakachomkuta siri yake