Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

amemuonea bure mtoto wa watu, sheria lazima ichukue mkondo wake.
pumbavu zake uyo jamaa.
wanawake wote waliojaa anashindwa kutafuta mwengine kwa hoja dhaifu ya kumpa rushwa ya kusomesha.

kwani ya kwake huyu marehemu ina kingamuzi cha dstv ndani.?
ina jokofu ndani?
ina iphone 22?
ikiwa na joto inajiweka ubaridi automaticiiii?
ina cable tv?
inakupa likes za bureee kama mr X?
 
Inasikitisha huyo mtoto walio muacha yatima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…