Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"



Patrice Evra: “I was so happy to play against Arsenal, because I knew I was going to win. Even when Robin van Persie came, on the first day I shook his hand & I said ‘welcome to a man club’. At the beginning he was upset, but after one month he said ’you were completely right Patrice’.”

"A Man Club"
 
Hivi humu ndani huwa kuna mashabiki wa Arsenal kweli?
 
Asante sana Kamanda kwa jitihada zako.
Nilishangaa sana eti Congo tumewazidi kwa uvivu
 
Naona mpo kama hampo pia Patrice Evra anawaletea dharau toka jana muangukie kipigo View attachment 1241109
Mi hata wachezaji siwajui bro. Wachezaji wachache ninaowajua ni Mane, Mbappe, Salah, Pogba na wengine wachache japo sina hata uhakika wa timu wanazochezea kwa sasa. Sina stimu na soka kabisaa sijui kwa nini...

#BringWengaBack
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…