Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mi hata wachezaji siwajui bro. Wachezaji wachache ninaowajua ni Mane, Mbappe, Salah, Pogba na wengine wachache japo sina hata uhakika wa timu wanazochezea kwa sasa. Sina stimu na soka kabisaa sijui kwa nini...

#BringWengaBack
Naelewa bro watu kama wewe wapo na vipaumbele vyao vingine ambavyo wapenda soccer pia hawavielewi kihivyo, ila zingatia Messi ni Muargentina na anachezea Barcelona......

#HopeAmaniInatawalaHapo
 
Naelewa bro watu kama wewe wapo na vipaumbele vyao vingine ambavyo wapenda soccer pia hawavielewi kihivyo, ila zingatia Messi ni Muargentina na anachezea Barcelona......

#HopeAmaniInatawalaHapo
Na CR7 ni Mreno na anachezea ____________[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hobbies ni kila mtu na lwake bro japo soka nadhani ndiyo ina wapenzi wengi hapa duniani.
 
Yule mama alizingua
 
Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Morogoro, SP Albert Kitundu (49) ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe alikataa kuandika maelezo polisi na kudai atayatoa Mahakamani, kuhusu watu anaodai waliuliwa na Jeshi la Polisi kwenye operesheni Mkoani Kigoma.
_
Pia amedai katika upelelezi walioufanya wakati huo akiwa Msaidizi wa Mkuu wa Upelelezi Kinondoni, alibaini kuwa kilichosemwa na Zitto hakikuwa na ukweli kwani watu waliofariki si 100 kama alivyodai bali ni wanne ikiwemo Askari Polisi wawili.
_
Hayo yamebainishwa na SP Kitundu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi wakati akitoa ushahidi ambapo aliongozwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Nassoro Katuga.
_
Baada ya kutoa ushahidi huo, Hakimu Shaidi ameahirisha kesi hiyo hadi Novemba 22, mwaka huu kwa ajili ya kusikilizwa.
#MillardAyoMAHAKAMANI
 
Don’t let anyone bring you down so low as to hate them. Release them from the hold they have on you and continue on with peace in your heart. Life is short and is not worth wasting your time trying to figure people out or prove anything to them. The only person you have to prove anything to is yourself. Strive to be the best person you can possibly be, be strong, and walk away. Holding on to bitterness and anger will only hinder your happiness. Your life is much too precious to spend another minute worrying about someone that doesn’t bring you happiness. Say goodbye and wish them well. After all, they’ve made you a stronger person. They’ll see the light someday.
~Ladybug
.
.
 
Life is so short. We spend so much time sweating the small stuff, worrying, complaining, gossiping, comparing, wishing, wanting and waiting for something bigger and better - instead of focusing on the simple blessings that surround us every day. Life is so fragile and all it takes is a simple moment to change everything you take for granted. Focus on what's important and be grateful. You are blessed! Believe it! Live your life and leave no regrets.
(Melanie Koulouris)
.
.
[emoji177]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…