Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Nani kakudanganya?Nyie uko luku si imeisha
Hehehe umeona ee halafu mwisho ilikua cheza cheza cheza mnaongeza spidi ya kuzunguka mpaka raha. Baada ya hapo ndio inakuja mwenzetu kagongwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiiiKumbe hata nyie mliokulia ushuani mlicheza michezo tuliyocheza siye wa uswahilini!!!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kitu 12:00 mchana
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu hapa hawajui mnaongelea nini yaani.. Uhenga raha sana tuojua ni wachache tu[emoji23]
Inapendeza kaka, huku pia mvua inanyesha sana tu... Kweli kabsa ni jambo la kumshukuru MuumbaHuku kwema, tunaendelea kufurahia majaaliwa Mwenyezi Mungu kutujaaalia mvua