Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shiii, taratibu basi. Ila hiki chama karibu kinanishinda aisee! [emoji16][emoji16]
Kweli kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha heshima ya ukoo ,,bora Wolves watufunge sio Liverpool[emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2]aiseShiii, taratibu basi. Ila hiki chama karibu kinanishinda aisee! [emoji16][emoji16]
Ni ile namba 3 eehDstv shuain zao naangalia mechi ya madrid wamekata,nimebakiziwa juve tu
Maximo 235Ni ile namba 3 eeh
Wapo vizuriMbappe ⚽⚽⚽
Sterling ⚽⚽⚽
Pole bhana.. Hata hvyo Madrid kashinda[emoji122]Maximo 235
Aaa wapi. Huyu Lallana hajamsaidia Yego lolote. Binti kasema hata ile sare inatosha na yuko tayari kuchukuliwa na eksi wake sema tu eksi kapotea. Sijui mapenzi yamemkaba ameshindwa kupumua huko aliko.Mshukuru Lallana aisee.
Tulishasema tangu zamani hakukuwa na ugumu wo wote. Maigizo tu. Afadhali umejivua gamba poti. Uko huru sasa !!!Shiii, taratibu basi. Ila hiki chama karibu kinanishinda aisee! [emoji16][emoji16]
I like this [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wataalamu wanasema ukioa mzaramo hakuna haja ya kununua sabufa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]