Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Salute kwake na kwa wazazi wake,enzi hizo mtoto wa kike na elimu ilikua ngumu sanaBi Suad Al Lamki alizaliwa na kusoma visiwani Zanzibar kabla ya Mapinduzi ya 1964 na baadaye kuelekea Misri na Ireland kwa ajili ya masomo ya sheria, kabla ya kurejea na kuajiriwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu ya Tanzania Bara alikopanda ngazi kutoka mwanasheria wa serikali hadi jaji, akiwa mwanamke wa pili tu kushika nafasi hiyo tangu Muungano wa 1964.
View attachment 1241574
kwa sasa anaishi Oman
Huku kwema sis.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jana sikuangalia mpira kabisaaaa nililala mapema ujue
#mngefungwaIngenoga
Salama kabisa,za ulipo tupo?
Mambo vipi D?😂😂😂😂😂😂
Nakuona avatar😂😂😂nabeka mama mwenye nyumbaaaaa
Poa D, za wewe?Mambo vipi D?
macho juu na mwamvuliNakuona avatar😂😂😂
Uwe mwangalifu sasamacho juu na mwamvuli
swadakta, nikifanya masihara nitazama ziwa victoriaUwe mwangalifu sasa