Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwanini mkuuBAK na FRAGARIA ni mtu mmoja?
Hahahaah mzoee daemusin kumbuka wewe na moud alisema ni mtu mmojaKwanini mkuu
kazi kwako mpendwa na wengi ndani ya JF, kuanzia leo naomba ufahamu:-Mara nyingi tu
jaribu kuwachunguza pindi wanapoandika kikristo ndipo utakapogundua kwa urahisi zaidi.Kwanini mkuu
ehehehee rasmi bradha haupo kundi la wapole wala wanyonge aiseeeeHata sioni bro.
Kwa kifupi jamaa/librarian siju yake ya kwanza ya kazi, akaanza kupanga vitabu kwenye shelfππ.Sasa issue ikawa kwamba licha ya kuwa ameshapanga ila msimamizi akawa anamsisitizia hebu panga vitabu jamaa kimya (bcoz kashapangaππππ), panga vitabu bwana "kimya" basi bwana jamaa kibarua kikaota nyasiπππππ
πππ
umeshazungumza na timekeeper wa humu ndani?9:29AM
Ile ya jana nilifanikiwa vizuri tu hope FE itadumu wasije ifanyia figisujaribu kuwachunguza pindi wanapoandika kikristo ndipo utakapogundua kwa urahisi zaidi.
rapid video wajanja walikuwa wanaitumia vibaya inavyosemekanaIle ya jana nilifanikiwa vizuri tu hope FE itadumu wasije ifanyia figisu
π π π π Esta wewe sio wa kunifanyia hivyo lkn.ehehehee rasmi bradha haupo kundi la wapole wala wanyonge aiseeee
Hahahaaaa......Hahahaah mzoee daemusin kumbuka wewe na moud alisema ni mtu mmoja
Hahahaa kaa nayo tu. Sabufa kiboko ya majiraniπ π π π Esta wewe sio wa kunifanyia hivyo lkn.
Mwaka huu ile sabufa yangu huenda nikaitupa.
Hope hao hao walioiangusha vibaya rapid wasihamie kwa FE si wajua binadamu tulivyorapid video wajanja walikuwa wanaitumia vibaya inavyosemekana