Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23] haki sitaki ushahidi mimi
 
moudgulf na myoyambendi ni ndugu wa damu= sio kweli ila sisi ni wahenga πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hapo kwangu hujapatia.

Kwema huko bro?
 
moudgulf na myoyambendi ni ndugu wa damu= sio kweli ila sisi ni wahenga πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hapo kwangu hujapatia.

Kwema huko bro?
tokea lini mtuhumiwa akakiri kosa kwa haraka haraka?
musiwe na wasiwasi repoti rasmi ilioandaliwa na jasusi mboboezi kutoka TISS itawekwa hadharani kabla ya kumalizika kwa mwaka.

wengine tumo humu ndani kwa mission maalum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…