Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Faida za kula muhogo na unga wa muhogo a.k.a udaga
Muhogo una karibu mara mbili ya kiwango cha kalori kuliko inayopatikana katika viazi. Ni moja ya chakula chenye kalori nyingi zaidi kuliko mazao mengine ya mizizi na majani yanayopatikana katika ukanda wa Kitropiki. Ukila gramu 100 za muhogo unakuwa umeingiza katika mwili wako kalori 160. Hii ni kwa sababu kiwango hiki kikubwa cha kalori hutokana na sukari aina ya sucrose ambayo ni asilimia 69 ya Jumla ya sukari inayopatikana katika chakula hiki.
 
Pamoja na kwamba muhogo una protini na mafuta kwa kiasi kidogo kuliko mazao ya nafaka, bado kiwang hiki ni kikubwa kuliko kile kinachopatikana katika mazao mengine ya mizizi kama vile viazi na magimbi. Hivyo kula muhogo kwa wingi!
 
Muhogo hauna keimikali iitwayo gluten (mkusanyiko wa protini mbalimbali ambazo hupatikana katika mazao ya nafaka kama vile ngano shayiri). Kemikali hii inaweza kuwa na athari za magonjwa kwa mlaji. Hivyo kula muhogo kwa wingi zaidi kuliko mazao mengine kama ngano
 
Madini kama vile chuma, potasiamu, zinki, magnesiamu, shaba, na manganizi hupatikana kwa wingi katika chakula cha muhogo. Potasiamu ni muhimu sana katika mwili kwa sababu ni sehemu muhimu ya majimaji ya mwili na seli ikisaidia kusimamia msukumo wa damu katika na mapigo ya moyo.
 
Madini kama vile chuma, potasiamu, zinki, magnesiamu, shaba, na manganizi hupatikana kwa wingi katika chakula cha muhogo. Potasiamu ni muhimu sana katika mwili kwa sababu ni sehemu muhimu ya majimaji ya mwili na seli ikisaidia kusimamia msukumo wa damu katika na mapigo ya moyo.
 
Miguu iliyopooza kwa watoto
Viwango vya chini vya iodini
Hatari kubwa ya ugonjwa wa goiter
Ugonjwa ufahamikao kwa jina la tropical ataxic neuropathy (TAN), hali ambayo hujitokeza kwa watu wenye umri mkubwa unaopelekea kupoteza hisia mikononi, uoni hafifu, udhaifu, matatizo ya kutembea, na hisia ya uwapo wa kitu fulani chini ya miguu
Kulewa kutokana na sumu na hatimaye kifo
 
Kweli kabisa
mukishajua wanaume wanaweza kupika ndio munazidi kujisifia kwa marafiki zenu.

MR X wangu ni mpishi wa hoteli basi akiwa nyumbani ni mwendo wa kupikiwa vyakula vya kisasa, ni mwendo wa kujinenepea kama paka wa kizungu.

tena hapo mashoga wakisikia hivyo ni full wivu, shoga akifika kwake na yeye anamtaka mpenzi wake ampikie vyakula vya kigeni.
balaa umwambie sijui kupika mhhhhhhhhhh! icho kichambo weeee
eboooooo mbona mumewe pandu ngozi anajua kupika vyakula vya kizungu kwani na yeye hana antenna kama ulionayo wewe?

niacheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee--------------------------- au kajifunze kupika kwa usalama wakooo

kama mwanaume mwenyewe ndio umeolewa basi utakoma na utalala mzungu wa 10.

sawa honey nitakwenda kujifunza mapishi ya kizungu, kichina, kijapani, kikorea, kipemba, kinyakyusa kwa ajili yako laazizi unayekwenda haja kubwa huku ukitoa dhahabu kama zile anazotuwekea moudgulf kwenye thread ya likes jamiiforums.
chezea kupenda ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…