carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Best Jitahidi uwe juu ya jamaa shauri yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu hawachi wa siku hizi mtamu
Carba andaaa hastag yako ya mbona wameachana tu
kwa nini mkuu?kweli wewe mzanzibari 100%
Disney hata wakila hasara kidogo ni sawa. Muvi zao karibu zote zimefanya vizuri sana.Imeingiza $161M kati ya $180M iliyotumia kama bajeti.
maneno uliyoandika ni aghalabu sana kukuta mtu (mwanaume) wa bara anaandikakwa nini mkuu?
Huyo kwenye avatar ni nduli Tippu Tip ama?kwa nini mkuu?
mukishajua wanaume wanaweza kupika ndio munazidi kujisifia kwa marafiki zenu.
MR X wangu ni mpishi wa hoteli basi akiwa nyumbani ni mwendo wa kupikiwa vyakula vya kisasa, ni mwendo wa kujinenepea kama paka wa kizungu.
tena hapo mashoga wakisikia hivyo ni full wivu, shoga akifika kwake na yeye anamtaka mpenzi wake ampikie vyakula vya kigeni.
balaa umwambie sijui kupika mhhhhhhhhhh! icho kichambo weeee
eboooooo mbona mumewe pandu ngozi anajua kupika vyakula vya kizungu kwani na yeye hana antenna kama ulionayo wewe?
niacheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee--------------------------- au kajifunze kupika kwa usalama wakooo
kama mwanaume mwenyewe ndio umeolewa basi utakoma na utalala mzungu wa 10.
sawa honey nitakwenda kujifunza mapishi ya kizungu, kichina, kijapani, kikorea, kipemba, kinyakyusa kwa ajili yako laazizi unayekwenda haja kubwa huku ukitoa dhahabu kama zile anazotuwekea moudgulf kwenye thread ya likes jamiiforums.
chezea kupenda ujinga
baraghashi mwenyeweHuyo kwenye avatar ni nduli Tippu Tip ama?
Bado [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niko mbioni kumaliza
Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba amkalie jamaa??
Je,mnyiramba atakubali kukaliwa??
teh tehmaneno uliyoandika ni aghalabu sana kukuta mtu (mwanaume) wa bara anaandika
[emoji8][emoji8]If you know you know [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji1549][emoji3603][emoji1549][emoji3603][emoji1549][emoji3603][emoji1549][emoji3603][emoji1549][emoji3603][emoji1549][emoji3603][emoji1549][emoji3603][emoji1549][emoji3603]
Jamani bae ni mweupe lakini sio peeeNamuunga mkono. Wanyiramba wengi weupe peee. Huu mkono mweusi tiii. Sio wake !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
kuna sehemu nimeongopa?aiseeh