Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Na wanaume wote waone hii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Dah !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1243249
wanapata matokeo mazuri sehemu zote za ligi wanazoshiriki, jambo jengine kampuni ya jeep itakuwa wameangalia zaidi nguvu ya CR7 kwenye ulimwengu huu wa soka bado itaendelea kuwepo kwa miaka miwili au zaidi.Yaani juve are playing so Well, si vichekesho hivyo
😤😤😤[emoji23][emoji23][emoji23]naona hawachi anataka depal aachike.
Ninge akikaliwa ntacheka sana
Huwezi kuishi kwa kutegemea bahati bro. Wachungaji wenyewe hawaishi kwa kutegemea bahati sembuse waumini?Bahati pia Muhimu bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sana tuMaandaeitini mnaijua hii ghasia?
View attachment 1243312
😂😂😂😂maneno uliyoandika ni aghalabu sana kukuta mtu (mwanaume) wa bara anaandika
Mbona umejiwai?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sina maana hiyooo[emoji125][emoji125][emoji125]
Siku ile andaeitini ukasema eti enzi zenu full magome ya miti lakini mlikuwa hamsikii baridi. Nilicheka mpaka mbavu zikaniuma japo sikusema kitu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sana tu
Kuna mtu kanitumi hii WhatsApp, nikampa block ya muda.
Nauli ni nzito sana ndio maana huwa hatubebi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1243327
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kuna mtu kanitumi hii WhatsApp, nikampa block ya muda.