Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mie nilielewa na kumaanisha kumtawala,sijui wewe ulielewaje[emoji124][emoji124][emoji36][emoji36][emoji36]
Kwani huku kukaliwa nyie mlielewaje?
Umeona hiyo jizazi ilivyotoka?Mbona umejiwai?
HahaHata kama majibu ni Hapana acha wanaume tujimwambafai tu bana. Upepo wa kisulisuli naona imeanza kufifia sasa tumehamia kwenye mwanamke hasomeshwi...
Hela ya bajeti itarudi. Mauzo ya nje hasa China kama imeruhusiwa. Willy Smith anapendwa sana huko...Bado kuna dvds na mengineyo.ila hii movieinanitia uchungu maana kacheza muigizaji nae mpenda..japo stori ni nzuri na matukio yamepangika vizuri ila imefeli kwenye mauzo hata hela ya bajeti haijafikisha...
View attachment 1243361
Mimi nilidhani kunesanesa....[emoji2099][emoji2099]Mie nilielewa na kumaanisha kumtawala,sijui wewe ulielewaje[emoji124][emoji124]
Fresh sana Mkatalunya, mishe niaje?