Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii ndio rojo?
kuna aina nyingi za maji ya urojo, inategemea na ubora wa muandaaji.
nina wasiwasi huo urojo anaokula huyo mchina umeandaliwa na mshamba kutoka kwenu huko milimani asiyejua kutofautisha kati ya tungule na nyanya.
  1. urojo wa ukwaju
  2. urojo wa bizari ya njano
  3. urojo wa maziwa
  4. .................
 
Kweli aisee, huyo mchina atakua anakunywa wa sembeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Jinsi wa Zanzibar wanavyosifia urojo nilikuwa natamani siku moja nibahatike kula ila ni wakawaida mno sijui wanaupendea nini.
 
Jinsi wa Zanzibar wanavyosifia urojo nilikuwa natamani siku moja nibahatike kula ila ni wakawaida mno sijui wanaupendea nini.
hujawahi kula kachori, bagia, katlesi?
hujawahi kula mayai ya kuchemsha?
hujawahi kutafuna chipsi za muhogo, chauro, makwaru ya muhogo?
hujawahi kula mbatata za kuchemsha?
hujawahi kutafuna nyama ya kuchoma?

kwa nini urojo ukushinde, just ni maji yaliongezwa baadhi ya viungo mfano bizari, ajino moto, chumvi na baadae yakatiwa vitu hivyo hapo juu nilivyovitaja.

ni sawa na kusema siwezi kula sembe ila wakati huo huo unajisifu unaweza kunywa uji wa sembe.
 
Mpendwa tatizo urojo vyote vinachanganywa kwa pamoja binafsi chakula kichanganywe na vitu vingi huwa kinaniletea chida tumboni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…