moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mkuu mi siyo wa bara ujue, hicho chakula nakula mara kwa mara hapa kwetu Kariakoo.
Hata hivyo nakula hiyo kwakuwa shemeji yako ni mpenzi wa hiyo kitu.
Vinginevyo ni heri nigonge supu naweza pata stim kuliko hiyo kitu bro.
Hata hivyo nakula hiyo kwakuwa shemeji yako ni mpenzi wa hiyo kitu.
Vinginevyo ni heri nigonge supu naweza pata stim kuliko hiyo kitu bro.
mbona muhenga wewe unaniangusha kwa makusudi?
humo ndani muna mchanganyiko wa vyakula tofauti mfano mbatata, mayai, muhogo, nyama choma.