Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Matumzi ya mmea wa beetroots yamepata umaarufu miaka ya hivi karibuni kwa sababu watafiti wamebainisha kuwepo wka uhushiano kati ya kunywa juisi ya beetroot na kupungua kwa shinikizo la damu, kupunguza maambukizi ya Ngozi kama vile harara, na kuongeza stamina ya mwili.
 
Yaani wanawake wa Zanzibar wanachoweza hasaaa kupika urojo hakuna kingine.
hivi mpendwa leo una lengo gani na mimi jamani?
nataka kulala lakini unaendelea kuleta mada za kichochezi na muombezi huna, huyo depal unayemtegemea muda wowote kuanzia sasa atarudi baaa aendeleze tabia yake ya kunywa maji kama samaki
 
Alitekwa?
Bro na wewe acha uboya. Uko Chuga hapo hapo kwa Depal inakuwaje unawaachia Wanyiramba watoke Manyoni huko na alizeti flowers zao na kuja kumtwaa nawe uko hapo hapo unacheka tu na hii avatar yako? Depal baridi linapuliza analalamika weee we upo upo tu. Unaniangusha sana bro [emoji36][emoji36][emoji36][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…