Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Udhaifu wa wanaume wa Dar mara nyingi hupimwa na ujasiri wa wanaume wa mkoa wa Mara, ndiyo maana Dar huchekwa kwa kuwakimbia wavulana wa "panya road" au kunyanyaswa na baadhi ya askari.
Kwamba mkoani Mara ambapo wanaume wote huko ni jasiri huwezi kutana na vitu kama hivyo.
Hata hivyo Wanaume wa mkoa huo wana ujasiri wa kipambavu sana dhidi ya wanawake[emoji2211][emoji2211]
Tuliza boli kamanda. Hizo ni sifa za Wakurya hizo na wote usiturundike humo. Bara ni kubwa ati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…