Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nisaidieni ndugu zangu aina hii ya ugali[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211].
Wapi mkorea [emoji23][emoji23]View attachment 1244597
1572023674744.png


ukikuta chakula cheusi basi ufahamu ya kwamba mpishi wa chakula hicho amekiunguza kwa uzembe wake, nashangaa kuna watu wanakula chakula cheusi

halafu hiyo nyama ndio imeshapikwa hapo.
huo mchuzi hauna hata mbatata japo ya kudanganyia, mke kama huyo mimi nampa talaka 500 na mahari atanirudishia.
 
Back
Top Bottom