myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes za usiku zinaendelea
Hivi mnaona kama mimi[emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]View attachment 1244602
[emoji106][emoji106]
Pipii.........Neno moja...View attachment 1244575
Hata bibi alikuwa binti[emoji124][emoji124][emoji124]
Wewe acha kuzunguka mbuyu, sema tu tukwambie ni Tsh ngapi...Kuna watu watakuja kuuliza hapa hii no shilingi ngap
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]weweeeeeee wanawake wa zenji wachafu kakwambia nani?
kwanza uchafu upi ulioukusudia?
kuna uchafu wa mavazi, uchafu wa mwili, uchafu wa kujituma kitandani, uchafu wa kujituma kimaisha
mwanamke wa zenji kila muda ananukia udi, asumini, waridi utadhani amezaliwa singapore.
carbamazepine ulipokuwa unaiandika hii comment yako nina wasiwasi ulikunywa gongo na ugali wa mtama.
Tutakoma aisee!!
labda itakuwa napoli ya pemba ndio inamtaka mchezaji kutoka simba.
SafiiNisaidieni ndugu zangu aina hii ya ugali[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211].
Wapi mkorea [emoji23][emoji23]View attachment 1244597
Bradha[emoji847][emoji847][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
#NachekaKikingSikuhizi
Wewe acha kuzunguka mbuyu, sema tu tukwambie ni Tsh ngapi...
🤝🤝Bradha[emoji847][emoji847]
Tutakoma aisee!!
View attachment 1244593
itakuwa anaogopa kukojoa kitandani kama mtoto mdogo pindi anapolala ndio maana aliamua kuvaa kondomu.
tatizo la waafrika hususani kutoka tanzania bara muna imani ya kwamba kila anevaa kondomu ni mzinifu.
le stupid mindeee from stupideee niggaaaa