D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
kwa nini isizuwie haliyakuwa haina tundu ya chini?Inazuia kujikojolea kweli??
Thank You babe[emoji7][emoji7]Jizazi!! Hizi goosebumps vipi tena? [emoji8][emoji8][emoji8]
View attachment 1244588
Hii kwaajili yako Dia
EheeeNatamani niulize swali[emoji124][emoji124][emoji124]
Kwamba akikojoa mkojo utabaki kwa ndom, hautavuja sio πππkwa nini isizuwie haliyakuwa haina tundu ya chini?
ππThank You babe[emoji7][emoji7]
Hahah! Noma sana bro, hapa ni good sijui huko?Bro,
Usiombe yakukute.Salama pande hizo?
Hahah! Hii mada yenu bhanaKwamba akikojoa mkojo utabaki kwa ndom, hautavuja sio πππ
Salama pia, ngoja nikapate moja baridi na nyama choma tentini at least nipunguze machungu.Hahah! Noma sana bro, hapa ni good sijui huko?
ππππ machungu ya nini mzee?Salama pia, ngoja nikapate moja baridi na nyama choma tentini at least nipunguze machungu.
Hahahahahaha, bora angeuliza mtu mwingine, sio weweππππππ machungu ya nini mzee?
#KunywaKistaarabu
Ukiona manyoya...
Wewe acha kuzunguka mbuyu, sema tu tukwambie ni Tsh ngapi...
Ilikuaje?Hapo kwenye hasara kuna siku nilitamani kulia[emoji23][emoji23]
Halotel bado sijawasamehe nawadai mb zangu
Sasa ukila hio kitu ukienda chooni inakuwaje [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1244609
ukikuta chakula cheusi basi ufahamu ya kwamba mpishi wa chakula hicho amekiunguza kwa uzembe wake, nashangaa kuna watu wanakula chakula cheusi
halafu hiyo nyama ndio imeshapikwa hapo.
huo mchuzi hauna hata mbatata japo ya kudanganyia, mke kama huyo mimi nampa talaka 500 na mahari atanirudishia.
ππππHahahahahaha, bora angeuliza mtu mwingine, sio weweππ
#MimiSodaTuu
nusu saa nzima hutoki chooni utafikiri umekula mapera machanga.Sasa ukila hio kitu ukienda chooni inakuwaje [emoji23][emoji23][emoji23]