Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
weweeeeeee wanawake wa zenji wachafu kakwambia nani?
kwanza uchafu upi ulioukusudia?
kuna uchafu wa mavazi, uchafu wa mwili, uchafu wa kujituma kitandani, uchafu wa kujituma kimaisha
mwanamke wa zenji kila muda ananukia udi, asumini, waridi utadhani amezaliwa singapore.
carbamazepine ulipokuwa unaiandika hii comment yako nina wasiwasi ulikunywa gongo na ugali wa mtama.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Maneno yote haya yangu mkorea??[emoji23][emoji23]
Nimecheka kwa nguvu lol!
Huu ni utafiti tena wa Harvard kabisa...Haya muwaruhusu wageuze shingo [emoji2211][emoji2211]View attachment 1244607
Hata wewe uliza tu mdogo wangu maana si umeona huo mwaka hapo, nina hakika hata wewe ulikuwa mbali sana mwaka huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waahView attachment 1244609
ukikuta chakula cheusi basi ufahamu ya kwamba mpishi wa chakula hicho amekiunguza kwa uzembe wake, nashangaa kuna watu wanakula chakula cheusi
halafu hiyo nyama ndio imeshapikwa hapo.
huo mchuzi hauna hata mbatata japo ya kudanganyia, mke kama huyo mimi nampa talaka 500 na mahari atanirudishia.
Mimi najua ni sh.5
We sema tu ulikuwa wataka kujua ni sh.ngap[emoji41][emoji41]
Kuna chimbo moja huko Zenj kwa wapenda urojo huwa nazifuata huko [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]babu shimba hizi picha unazitoa wapi?
haiwezekani kila siku unakuja na mzigo mpya, bila ya shaka utakuwa ni photographer mwenyewe
Jizazi!! Hizi goosebumps vipi tena? [emoji8][emoji8][emoji8]
View attachment 1244588
Hii kwaajili yako Dia
Tutakoma aisee!!
Wakiachana tutapumua sana
#alisikikamtummojamwenyewivu[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo mmetuamulia aisee[emoji28][emoji28][emoji28]
nilikuwa nawasoma kimya kimya tokea mchana huku nacheka peke yangu kama fala.
davet na mfilisti mumegeuka panya.
akiondoka paka ndio munatawala.
Salama mkuu.