moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Amin
Mungu Akubariki
View attachment 1245286
Mungu Akubariki
View attachment 1245286
Sawa mpendwa. Hujanikosea [emoji1545][emoji1545]Aisee najua nimeuliza kwa utani. Sorry mpendwa.
UbarikiweSawa mpendwa. Hujanikosea [emoji1545][emoji1545]
Ikibidi utumie mate tayari jua ushafeli kwa asilimia 50 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089]View attachment 1245445
Ofu kozi. Kuoneana tu !!!
Tayari ninayo yote bro jana kuna wadau waliiweka Telegram...Jesus is King [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Umeisikiliza hiyo albamu? Ni nzuri?
Mtihani ambao nikipewa niufanye naweka pen chini sijazi kitu
Ni injili ya kweli kweli au ni swaga tu za King?Tayari ninayo yote bro jana kuna wadau waliiweka Telegram...
Nimesikiliza nyimbo zake kama tatu hivi zipo vizuri naimani mauzo yatakua makubwa
Weekend yangu Safi
Ukiambiwa upange timu A yako unayoitaka hapo itakuwaje?Mtihani ambao nikipewa niufanye naweka pen chini sijazi kitu