Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah! Genius himself
Hahah! Genius himself
Kideo chake sasa 😀Kanye west_Famous 👽
Kideo chake sasa 😀
Sio ile pure ni hii modern kabisa mixer michano, huyu jamaa ni mfanya biashara tu hana lolote juu ya upakoNi injili ya kweli kweli au ni swaga tu za King?
Ye + J + Eminem .... Huyo Cole inauma kumtoa ila haina jinsi maana nafasi zimejaaUkiambiwa upange timu A yako unayoitaka hapo itakuwaje?
Voda hawa. Shenzi zao kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu unaenda swali linalofuatia unakuta based on your answer in the previous question, how would your team look like if we add Tupac and Biggie in the mix? [emoji16][emoji16][emoji16]Ye + J + Eminem .... Huyo Cole inauma kumtoa ila haina jinsi maana nafasi zimejaa
Ikibidi utumie mate tayari jua ushafeli kwa asilimia 50 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Achana na comments za kina Snoop jaribu kumfatilia wewe kama wewe naamini utamuelewa tu huyu upcoming US President 😀😀 mambo yake nje ya mziki siyakubaligi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Kwa makanisa ya sasa yaliyojaa vituko vya kila aina hii service yake mbona poa tu? Tena wamevaa nguo nyeupe za kitakatifu [emoji16][emoji16][emoji16]Sio ile pure ni hii modern kabisa mixer michano, huyu jamaa ni mfanya biashara tu hana lolote juu ya upako
Ona kama hii Sunday Service yake anayotoa
View attachment 1245466