Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sio ile pure ni hii modern kabisa mixer michano, huyu jamaa ni mfanya biashara tu hana lolote juu ya upako

Ona kama hii Sunday Service yake anayotoa
View attachment 1245466
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Kwa makanisa ya sasa yaliyojaa vituko vya kila aina hii service yake mbona poa tu? Tena wamevaa nguo nyeupe za kitakatifu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…