Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Achana na comments za kina Snoop jaribu kumfatilia wewe kama wewe naamini utamuelewa tu huyu upcoming US President 😀
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Kwa makanisa ya sasa yaliyojaa vituko vya kila aina hii service yake mbona poa tu? Tena wamevaa nguo nyeupe za kitakatifu [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndoto yako ilikuwa uje kuwa nani kabla ya kulogwa..?[emoji3]
Kazi ipo !!!View attachment 1245491
Aisee laiti kama mke katenda hivi.
Hela ziliisha mpaka akawa na madeni kibao akaingia kwenye depression. Mwanaume amepambana kujinasua kutoka huko mpaka sasa amerudi kwenye umilionea tena. Anafaa kuliko hata Trump [emoji16][emoji16][emoji16]Akishakuwa President aache drama zake mara kapandwa kichaa
Ye + J + Eminem .... Huyo Cole inauma kumtoa ila haina jinsi maana nafasi zimejaa
R.city-Locked Away
Yes! Kijana mpole za wekeend?The Furaha herself
Jizazi!Halafu unaenda swali linalofuatia unakuta based on your answer in the previous question, how would your team look like if we add Tupac and Biggie in the mix? [emoji16][emoji16][emoji16]
Heheh!Akishakuwa President aache drama zake mara kapandwa kichaa