Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20191025_124250.jpeg
 
Hahahahahaha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa anataka kutulazimisha tuishie kula urojo aka mix kisha tukalale[emoji23][emoji23].
Mi siwezi hiyo, nipo mahali hapa nagonga supu na ndizi za kutosha, mambo ya urojo nawaachieni nyie[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Nipo kamanda. Nipo nakula sembe huku nikisukumizia na urojo wa Mkorea....

Heavy duty hiyo...na bila dona la uhakika hapo utachemsha asubuhi na mapema [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahahahahaha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa anataka kutulazimisha tuishie kula urojo aka mix kisha tukalale[emoji23][emoji23].
Mi siwezi hiyo, nipo mahali hapa nauonga supu na ndizi za kutosha, mambo ya urojo nawaachieni nyie[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Subiri akija. Alisema ile ilikuwa half time katika mapambano yake dhidi ya sembe [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom