Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2e56cfcf-61d6-4ce0-ad1d-feeb6f74902f.jpeg
 
Hahahahahaha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa anataka kutulazimisha tuishie kula urojo aka mix kisha tukalale[emoji23][emoji23].
Mi siwezi hiyo, nipo mahali hapa nauonga supu na ndizi za kutosha, mambo ya urojo nawaachieni nyie[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Ngoja aje jamaa anajua kuchambaa hata mwanamke simuwezi😁😁😁😁
 
Kabisa hapa kuna amani.....Huko kwenye siasa anapaweza BAK VE
Halafu sijui kapotelea wapi VE wako. I hope huko aliko ni mzima. Nina wasiwasi kwa sababu hata hii hoax ya juzi juzi hapa hakusikika. Yaani asikie nduli wake kapatwa na tatizo kweli asijitokeze? Tumuombee [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom