The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Nipo kamanda. Nipo nakula sembe huku nikisukumizia na urojo wa Mkorea....
Muwage na huruma na nyie. Kha !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji849][emoji849][emoji849]View attachment 1245697
Watu wataunguza maini hivi hivi wanajiona [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2088]View attachment 1245694
Vipi kama mtu kafa na Ebola au Kipindupindu? Mila zingine kiboko !!![emoji849][emoji849][emoji849]View attachment 1245697
Nafasi ya 15 inasikitisha broNini kinasikitisha bro
Sad news indeed....wivu uliopitiliza
[emoji26][emoji26] dah!
Tatizo langu kuchukia ni sekunde...Tatizo lako kuchukia ni sekunde naogopa kuharibu siku yako mpendwa.
Nipo kamanda. Nipo nakula sembe huku nikisukumizia na urojo wa Mkorea....
Heavy duty hiyo...na bila dona la uhakika hapo utachemsha asubuhi na mapema [emoji16][emoji16][emoji16]
Subiri akija. Alisema ile ilikuwa half time katika mapambano yake dhidi ya sembe [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahahaha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa anataka kutulazimisha tuishie kula urojo aka mix kisha tukalale[emoji23][emoji23].
Mi siwezi hiyo, nipo mahali hapa nauonga supu na ndizi za kutosha, mambo ya urojo nawaachieni nyie[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
AiseeTatizo langu kuchukia ni sekunde...